iqna

IQNA

issa qassim
Kujipenyeza Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amekosoa viikali uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi katika mji mkuu Manama na kueleza kwamba, hatua hiyo ni jinai na dhulma ya wazi dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475711    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Sheikh Issa Qassim
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema moja kati ya mafanikio makubwa zaidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kuundwa mrengo wa muqawama au harakati za mapambano ya Kiislamu na kupata ushindi mrengo huo katika mapambando dhidi ya mfumo wa kibeberu.
Habari ID: 3473978    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/04

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema kuwa dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya taifa la Bahrain umeifanya nchi hiyo kuwa sawa na gereza kubwa
Habari ID: 3473533    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07

TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni na kiongozi juu wa Kiislamu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain amesema kuwa, matokeo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel yatakuwa hatari na yatasababisha majanga.
Habari ID: 3473414    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02

Ayatullah Sheikh Isa Qassim
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amesema, mapambano dhidi ya ufanyaji mapatano na Israel ni mfano mmojawapo wa mapambano matakatifu ya Imam Hussein AS dhidi ya Yazid.
Habari ID: 3473119    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/30

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Sheikh Isa Qassim amekosoa vikali hatua ya kualikwa raia wa utuawala wa Kizayuni wa Israel kwenye kongamano la kibiashara linalotazamiwa kufanyika katikati ya mwezi huu wa Aprili nchini humo.
Habari ID: 3471899    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/04